Connect with us

AFCON 2017: Vikosi vya Tanzania, Uganda vyatajwa

AFCON 2017: Vikosi vya Tanzania, Uganda vyatajwa

 

Kocha wa timu ya taifa ya soka ya Tanzania Charles Boniface Mkwasa amekitaja kikosi cha wachezaji 26 kuanza kujiandaa kumenyana na Harambee Stars ya Kenya katika mchuano wa Kimataifa wa kirafiki tarehe 29 mwezi huu jijini Nairobi.

Taifa Stars pia itatumia mchuano huo kujiweka tayari kumenayana na Misri tarehe 4 mwezi ujao jijini Dar es salaam, huku Kenya ikijiweka tayari kucheza na Congo-Brazaville jijini Nairobi, kufuzu kucheza fainali ya Afrika nchini Gabon mwaka ujao.

Miongoni mwa wachezaji hao ni pamoja na Beki wa Yanga Nadir Haroub alimaarufu kama Cannavaro ambaye awali alikuwa ametangaza kustaafu kuichezea timu yake ya taifa.

Makipa: Deo Munish ( Yanga), Aishi Manula (Azam) Benno Kakolanya ( Prisons).

Mabeki: Juma Abdul, Haji Mwinyi,Nadir Haroub (Yanga ), Erasto Nyoni, David Mwantika, Aggrey Morris ( Azam), Mohamed Tshabalala (Simba), Andrew Vicent ( Mtibwa Sugar).

Viungo wa Kati:Hamid Mao, Farid Mussa ( Azam), Jonas Mkude, Mwinyi Kazimoto (Simba), Mohamed Ibrahim, Shiza Kichuya ( Mtibwa Sugar ),Hassan Kabunda ( Mwadui ), Juma Mahadhi (Coastal Union). Ismail Issa Juma ( JKU)

Washambuliaji: Elias Maguri ( Stand United), John Bocco ( Azam) Ibrahim Hajib ( Simba), Mbwana Samatta ( Genk GRC, Ubelgiji), Thomas Ulimwengu ( TP Mazembe)

 

Uganda Cranes

Uganda Cranes

Naye kocha wa timu ya taifa ya soka ya Uganda Milutin “Micho” Sredojovic amekitaja kikosi cha wachezaji 21 kuanza mazoezi kuikabili Zimbabwe katika mechi ya kirafiki tarehe 31 mwezi huu na baadaye kukabaliana na Bostwana katika mchuano wa kufuzu kuchgeza fainali za Afrika.

Makipa:1/Onyango Denis – Mamelodi Sundowns-SA, 2/Jamal Salim Magoola- El Merreikh-Sudan 3/Odongkara Robert- Saint George-Ethiopia

Mabeki: 4/Iguma Denis –Al Ahed-Lebanon, 5/Isinde Isaac-
Saint George-Ethiopia, 6/Jjuko Murushid- Simba SC-Tanzania, 7/Waswa Hassan- Al Shorta-Iraq ,8/Ochaya Joseph- KCCA Fc -Uganda

Viungo wa Kati:

9/Azira Mike- Colorado Rapids-USA, 10/Aucho Khalid- Gor Mahia-Kenya, 11/Mawejje Tony- Thottur-Iceland, 12/Oloya Moses-Binh Duong-Vietnam,13/Kizito Luwagga Wiliam Feirense-Portugal, 14/Walusimbi Godfrey-Gor Mahia-Kenya

Washambuliaji:

15/Miya Farouk-Standard Liege- Belgium, 16/Lorenzen Melvyn-
Werder Bremen-Germany, 17/Massa Geoffrey- Bloemfontein Celtics-SA, 18/Kasirye Davis- Rayon Sports-Rwanda, 19/Okwi Emanuel-Sondyerske-Denmark, 20/Sekisambu Erisa-Vipers -Uganda, 21/Lubega Edrisa –Proline -Uganda

Bedjos Solutions Bondo

Must See

More in