Connect with us

Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania Abdi Banda amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi wa klabu yake ya Baroka FC ya Afrika Kusini.

Banda alijiunga na timu hiyo akitokea Simba ya Tanzania aliyotumikia kwa miaka mitatu.

Amekuwa na msimu mzuri na klabu yake ambapo hata hivyo licha ya kufunga mabao bado iko hatarini kushuka daraja.

Baroka ina alama 34 ikishika nafasi ya 12, pointi moja zaidi ya Polokwane City

African journalist with passion of football reporting.Also i love politics

More in