Connect with us

DRC: Florent Ibenge ateua kikosi kuanza maandalizi ya kufuzu AFCON 2017

DRC: Florent Ibenge ateua kikosi kuanza maandalizi ya kufuzu AFCON 2017


Na Victor Abuso,

Kocha wa timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo  Florent Ibengé Ikwange amekitaja kikosi cha wachezaji 25 kuanza maandalizi ya michuano ya kufuzu kucheza michuano ya Afrika AFCON mwaka 2017 nchini Gabon.

DRC ambayo inafahamika kwa jina maarufu kama Leopards imejumuishwa katika kundi moja na majirani zao Angola, Jamhuri ya Afrika ya Kati na Madagascar.

Leopards itaanza mchuano wake wa ufunguzi jijini Kinshasa dhidi ya Madagascar tarehe 14 mwezi ujao.

Kabla ya michuano hiyo, DRC itamenyana na Burkina Faso tarehe 3 mwezi ujao kabla ya kupambana na Cameroon tarehe 9 katika michuano ya kimataifa ya kirafiki.

Hii ndio  orodha ya wachezaji waliotajwa na kocha  Florent Ibengé Ikwange:

KIASSUMBUA JOEL (FC WOHLEN - Switzerland)
KUDIMBANA NICAISE (Anderlecht Belgium)
MANDANDA PERFECT (CHARLEROI, Belgium)
ISSAMA MPEKO OJ (KABUSSCHORP - Angola)
OUALEMBO CHRISTOPHER (ACADEMICA Coimbra - Portugal)
Mongongu CEDRIC (Evian Thonon Gaillard -France)
GABRIEL Zakuani (PETERBOROUGH - Great Britain)
KIMWAKI Mpela JOEL (TP MAZEMBE - RD Congo)
MAVINGA CHRIS (STADE DE REIMS - France)
N'SAKALA FABRICE (Anderlecht Belgium)
TAMATA ABEL (PSV EINDOVHEN - Netherlands)
KAMAVUAKA Wilson (STURM GRAZ - Austria)
Youssuf Mulumbu (WBA - Great Britain)
MAGHOMA JACQUES (SHEFFIELD WEDNESDAY - Great Britain)
NZUZI TOKO (Eskisehirspor - Turkey)
Kebano Neeskens (Charleroi-Belgium)
MBEMBA CHANCEL (Anderlecht Belgium)
BOTAKA JORDAN (EXCELSIOR ROTTERDAM -Country Netherlands)
LUKOKI JODY (PEC SWOLLE-Netherlands)
MABWATI CEDRIC (OSSASUNA Pamplona-Spain)
BEZUA Dieumerci Mbokani (Dynamo Kiev-Ukraine)
Bokila JEREMY (TEREK GROZNY - Russian)
BOLASIE YALA YANNICK (CRYSTAL PALACE - Great Britain)
Ndongala dieumerci (Charleroi-Belgium)
Bakambu CEDRIC (BURSASPOR - Turkey)

Ex- CAF Media Expert. An expert on African football with over 15 years experience ,always with an ear to the ground with indepth knowledge of the game. I have worked for top publications including 7 years at www.supersport.com until i founded www.soka25east.com to quench the thirst of football lovers across the continent. I have trained young upcoming journalists who are now a voice in African football.I have covered World Cup,AFCON,CHAN,Champions League,Confederations Cup,Cecafa,Cosafa,Wafu and many other football tournaments across the World. Founder Football Africa Arena(FAA),Founder www.afrisportdigital.com

Bedjos Solutions Bondo

Must See

More in