Connect with us

DRC: Ratiba ya kuwania taji la taifa yatangazwa

DRC: Ratiba ya kuwania taji la taifa yatangazwa

Na Victor Abuso,


Shirikisho la soka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo FECOFA, limetangaza rasmi  ratiba ya kuwania ubingwa wa taji la msimu huu la  taifa “Congo cup”  kuanzia juma lijalo.

Michuano 72 itachezwa katika miji ya Kinshasa, Lubumbashi na Bukavu.

Michuano ya kwanza itachezwa kuanzia tarehe 8 jijini Kinshasa, huku vlabu vya kutoka Kivu Kusini zikimenyana toka tarehe 16.

Kutakuwa na makundi mawili katika michuani hii na watakaomaliza wa kwanza katika kila kundi watacheza mechi ya fainali mjini Lubumbashi.

Hii ndio ratiba kamili ya  michuano hiyo:

Mjini  Kinshasa

Kundi  A / uwanja wa Tata Raphaël

Juni 8, 2015: AS Veti Club vs DCMP / Bumba , Renaissance FC vs AS Vutuka 

Juni 10, 2015: DCMP / Bumba vs FC Renaissance , AS Vutuka Veti vs Club 

Juni 15, 2015: AS Vutuka vs DCMP / Bumba , AS Veti vs FC Club Renaissance 

Kundi B / uwanja wa  Tata Raphaël

Juni 9, 2015: FC MK vs Shark XI FC 

Juni 11, 2015: Shark XI FC vs DC Motema Pembe 

Juni 16, 2015: DC Motema Pembe vs MK 

Uwanja wa  Bukavu

Kundi  A /uwanja wa  Concorde

Juni 10, 2015: Ndjadi vs. El Dorado , OC Bukavu Dawa Nyuki vs AS Vita

Juni  12, 2015: El Dorado vs OC Bukavu Dawa , Ndjadi Nyuki vs AS Vita

Juni  14, 2015: AS Nyuki vs El Dorado , vs OC Bukavu Dawa Ndjadi 

Kundi  B /Uwanja  Concorde

Juni  11, 2015: AS Nika vs AS Capaco , AS Black Dolphins vs AS Makiso 

Juni  13, 2015: Black Dolphins vs AS Capaco , AS Nika vs AS Makiso 

Juni  15, 2015: AS Black Dolphins vs AS Nika (1:45 p.m.), AS Makiso vs Capaco 
Mjini  Lubumbashi

Kundi A  / Uwanja wa TP Mazembe

Juni  10, 2015: KFA vs AS Saint Luke 

Juni  12, 2015: US Kasai vs AS Saint Luc 

Juni 14, 2015: US KFA vs Kasai

Kundi  B / Uwanja wa  Kibasa Maliba

Juni  9, 2015: US Lubumbashi Sport vs Tshinkunku , AS Bantu vs FC St. Eloi Lupopo , JS Group Bazano vs SM Sanga Balende 

Juni   11, 2015: AS Bantu vs JS Bazano Group, Lubumbashi FC Sport vs SM Sanga Balende , US vs FC Saint Eloi Tshinkunku Lupopo , US Tshinkunku vs FC Saint Eloi Lupopo 

Juni  13, 2015: AS Bantu vs FC Sport Lubumbashi , SM Sanga Balende vs US Tshinkunku , JS Group Bazano vs FC St. Eloi Lupopo 

Juni  15, 2015: US Tshinkunku Bazano vs JS Group , AS Bantu vs SM Sanga Balende , FC Saint Eloi Lupopo vs Lubumbashi Sport 

Juni  17, 2015: US Tshinkunku vs AS Bantu , JS Group Bazano Lubumbashi Sport vs FC , SM Sanga Balende vs FC St. Eloi Lupopo

Ex- CAF Media Expert. An expert on African football with over 15 years experience ,always with an ear to the ground with indepth knowledge of the game. I have worked for top publications including 7 years at www.supersport.com until i founded www.soka25east.com to quench the thirst of football lovers across the continent. I have trained young upcoming journalists who are now a voice in African football.I have covered World Cup,AFCON,CHAN,Champions League,Confederations Cup,Cecafa,Cosafa,Wafu and many other football tournaments across the World. Founder Football Africa Arena(FAA),Founder www.afrisportdigital.com

Bedjos Solutions Bondo

Must See

More in