Connect with us

DRC Congo National Football Team

FIFA yawafungia viongozi wa soka DRC

FIFA yawafungia viongozi wa soka DRC

Na Victor Abuso,

Viongozi wawili wa Shirikisho la soka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamefungiwa kwa muda kushiriki katika shughuli za soka kwa kukeuka kanuni za Shirikisho la soka duniani FIFA.

Makamu wa rais wa FECOFOOT Jean Guy Blaise Mayolas na Katibu Mkuu Badji Mombo Wantete hawaruhusiwi kushiriki katika maswala ya soka kitaifa na kimataifa.

FIFA inasema hatua hiyo imechukuliwa baada ya Ofisi ya uchunguzi ikiongozwa na Cornel Borbély, akitumia kanuni ya sheria za FIFA kifungo 83 sehemu ya 1.

Haijaelezwa ni kwanini viongozi hao wawili wamepigwa marufuku kushiriki katika maswala ya soka.

Appointed by CAF President Dr.Ahmad as CAF Media Expert. An expert on African football with over 13 years experience ,always with an ear to the ground with indepth knowledge of the game. I have worked for top publications including 7 years at www.supersport.com until i founded www.soka25east.com to quench the thirst of football lovers across the continent. I have trained young upcoming journalists who are now a voice in African football.I have covered World Cup,AFCON,CHAN,Champions League,Confederations Cup,Cecafa,Cosafa,Wafu and many other football tournaments across the World. Founder Football Africa Arena(FAA),Founder www.afrisportdigital.com

More in DRC Congo National Football Team