Connect with us

Kocha wa Simba Mfaransa Pierre Lechantre ametumia mfumo wa 3-5-2 wakati kikosi chake kikiumana na Gendarmarie ya Djibout katika mchuano wa Kombe la Shirikisho Afrika.

Wachezaji wanaoanza ni

Aishi Manula

Asante Kwasi

Shomari Kapombe

Yusuph Mlipili

James Kotei

Erasto nyon

Jonas Mkude

Shiza Kichuya

John Bocco

Said Ndemla

Emanuel Okwi

Wachezaji wa akiba ni Mzamiru Yassin, Emanuel Mseja, Mwinyi Kazimoto, Moses Kitandu, Paul Bukaba, Ally Shomari na Juuko Murshid

African journalist with passion of football reporting.Also i love politics

More in