Connect with us

Kocha Mkuu wa Yanga George Lwandamina ametangaza kikosi cha Ynaga kinachoanza kwenye mchezo wa Ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya St Louis ya Shelisheli.

Mechi hiyo itaanza saa kumi alasiri katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

Wachezaji wanaoanza ni

Ramadhan Kabwili

Hassan kessy

Gadiel Michael

Kelvin Yondan

Said Juma Makapu

Papy Shishimbi

Pius Buswita

Raphael Daud

Ibrahim Ajibu

Emanuel Martin

Obrey Chirwa

Benchi

Beno Kakolanya, Juma Abdul, Nadir Haroub, Juma MahadhiYusuph Mhilu, Said Mussa na Geofrey Mwashiuya

Kesho Simba SC itakuwa mwenyeji wa Gendarmarie ya Djibout katika mchezo wa kombe la shirikisho.

African journalist with passion of football reporting.Also i love politics

More in