Connect with us

Benchi la ufundi la Yanga limetaja kikosi cha timu hiyo kitakachoanza katika mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Welatya Dicha ya Ethiopia utakaoanza saa 10 katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam.

Yanga ambao ni mabingwa wa soka Tanzania Bara wanahitaji ushindi katika mchezo huo ili kujiweka katika mazingira mazuri kabla ya mchuano wa marejeano utakaochezwa wiki ijayo nchini Ethiopia.

Kikosi kinachoanza ni kama ifuatavyo.

Youthe Rostand

Hassan Kessy

Mwinyi Haji

Abdallah Shaibu

Vicent Andrew

Thaban Kamusoko

Yusuf Mhilu

Raphael Daud

Pius Buswita

Ibrahim Ajib na

Emanuel Martin

Wachezaji wa akiba ni Ramadhan Kabwili, Juma Abdul, Yohana Mkomola, Juma Mahadhi, Pato Ngonyani, Nadir Haroub na Geofrey Mwashiuya

 

African journalist with passion of football reporting.Also i love politics

More in