Connect with us

Uongozi wa ligi kuu nchini Uganda umetangaza ratiba mpya ya ligi kuu ya soka nchini humo inayoanza siku ya Ijumaa.

Mechi saba zitachezwa siku ya Ijumaa, huku mechi moja ikichezwa siku ya Jumamosi.

Ratiba kamili:

Ijumaa Septemba 28 2018:

Vipers SC vs Ndejje University FC St. Mary’s Stadium – Kitende

URA FC vs Paidha Black Angels FC – Namboole  

KCCA FC vs Tooro United FC – Lugogo   

Onduparaka FC vs Nyamityobora FC– Arua

Mbarara City FC vs Express FC – (Uwanja bado haujafahamika)   

Kirinya Jinja SSS FC vs  SC Villa – The Mighty Arena

Bright Stars FC vs Maroons FC – Mwererwe   

Jumamosi Septemba 29 2018

Police FC vs BUL FC – Lugogo

More in African Football