Connect with us
Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Premium Lite itaendelea kesho Jumamosi Juni 23,2018 kwenye Viwanja vinne.
Evergreen vs Mlandizi Queens (Karume)
Kigoma Sisters vs Panama (Lake Tanganyika)
Simba Queens vs Alliance (Karume)
Baobab vs JKT Queens (Jamhuri)
Uwanja wa Karume utakaotumika kwa michezo miwili,Mchezo wa Simba Queens na Alliance utatangulia kuchezwa saa 8 mchana ikifuatiwa na mchezo wa Evergreen na Mlandizi Queens saa 10 jioni.
Michezo kwenye viwanj vingine itaanza saa 10 jioni.

African journalist with passion of football reporting.Also i love politics

More in