Connect with us

African Football

Mataifa ya Afrika yaanza kusaka nafasi ya kucheza fainali ya Vijana

Mataifa ya Afrika yaanza kusaka nafasi ya kucheza fainali ya Vijana

 

Safari ya timu za Afrika katika mchezo wa soka kwa wachezaji wenye chini ya umri wa miaka 20 inaanza mwishoni mwa juma hili kufuzu katika makala ya 20 ya michuano ya Afrika itakayofanyika nchini Zambia mwaka 2017.

Michuano itakayopigwa wikendi hii ni ile ya mzunguko wa kwanza kabla ya ile ya marudiano.

Mataifa 20 yanashiriki kutafuta mataifa saba yatakayojiunga na Zambia katika fainali hizo.

Mabingwa watetezi Nigeria na timu zingine za Angola, Benin, Burkina Faso, Burundi, Cameroon, Congo, Cote d’Ivoire na Egypt zimefuzu katika mzunguko wa pili.

Mzunguko wa kwanza unazikutanisha Gabon, Ghana, Lesotho, Libya, Malawi, Mali, Morocco, Nigeria, Senegal and South Africa.

Ratiba

Ijumaa, Aprili 1 2016

Tunisia vs Niger

Jumamosi Aprili 2 2016

Sierra Leone vs Gambia

Rwanda vs Uganda

Mozambique vs Mauritius

Swaziland vs Namibia

Jumapili Aprili 3 2016.

Liberia vs Guinea

Algeria vs Mauritania

Sudan vs Kenya

Zimbabwe vs Botswana

Ethiopia vs Somalia

More in African Football