Connect with us

Na Fredrick Nwaka,

Dar es Salaam. Kocha msaidizi wa Simba Jackson Mayanja amesema timu yake imekamilika kwa mchezo wa keaho dhidi ya Mwadui ya Shinyanga.

Timu hizo zitakutana kesho katika mchezo wa Ligi Kuu utakaochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru.

“Ni mechi muhimu kwetu, nawaomba mashabiki waje uwanjani kwa wingi.

Simba ilishindwa kufunga katika mchezo uliopita dhidi ya Azam na kusababisha mashbiki wa timu hiyo kuipigia kelele safu ya ushambuliaji.

Mayanja alisema wachezaji wote wako tayari kwa mchezo huo n jukumu lao ni kusaka ushindi.

More in East Africa