Connect with us

Na Fredrick Nwaka,

Dar es Salaam. Timu ya Mbeya City inaendelea na mchakato wa kusaka kocha mpya baada ya kuachan na raia wa Malawi, Kinah Phiri.

 

Klabu hiyo ilivunja mkataba na Kinnah baada ya kutoridhishwa na uwezo wake wa ufundishaji.

Katibu mkuu wa Mbeya City Emmanuel Kimbe amesema mchakato huo utakuwa w haraka.

“Vuta subira tunatafuta kicha mzuri atakayekipaisha kikosi chetu, tutamtangaza muda si mrefu,”alisema Kimbe.

Kwa sasa timu hiyo inafundishwa n Kocha Msaidizi Mohammed Kijuso ambaye ni mchezaji wa zamani wa Simba.

More in East Africa