Connect with us

Michuano ya soka kufuzu fainali ya bara Afrika kwa wachezaji wasiozidi miaka 17 itakayofanyika mwaka 2019 nchini Tanzania inaanza kuchezwa siku ya Alhamisi.

Ukanda wa Kusini mwa bara la Afrika COSAFA, unatumia michuano yake ya vijana itakayomalizika tarehe 29 mwezi Julai.

Mauritius ni wenyeji wa michuano hii na imepangwa katika kundi moja la A na Bostwana, Namibia na Ushelisheli.

Ratiba

Julai 19 2018

Namibia vs Ushelisheli

Mauritius vs Botswana

Zambia vs Msumbiji

Mshindi wa michuano hii, atafuzu katika fainali ya bara Afrika na kuungana na mataifa mengine sana ikiwa ni pamoja na wenyeji Tanzania.

Michuano mingine ya kufuzu katika fainali hii kutoka maeneo mengine itaanza mwezi Agosti na Septemba.

 

More in