Connect with us

Michuano ya ligi kuu Tanzania bara kuendelea leo

Michuano ya ligi kuu Tanzania bara kuendelea leo

Michuano ya soka ya ligi kuu ya Tanzania bara inarejelewa leo katika viwanja mbali.

Michuano ya leo Jumatano.

Tanzania – Ligi kuu Bara

 

Young Africans

16 : 00

Tanzania Prisons

 

JKT Mgambo

16 : 00

Simba

 

Maji Maji

16 : 00

Kagera Sugar

 

Mbeya City

16 : 00

Ruvu Stars

 

Stand United

16 : 00

Azam

 

Toto Africans

16 : 00

Mtibwa Sugar

 

Ndanda

16 : 00

Coastal Union


Msimu wa ligi kuu ilianza mwishoni wa juma lililopita.

Bedjos Solutions Bondo

Must See

More in