Connect with us

Kipa mkongwe wa Azam ,Mwadin Ally Mwadin ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi wa Azam FC wa mwezi Machi.

Kipa huyo wa zamani ambaye aliwahi kuidakia Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars  ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wachezaji Salum Aboubakari na Frank Domayo akivuna asilimia 52 ya kura zilizopigwa kupitia mitandao ya kijamii.

Katika mwezi wa machi, Mwadin alicheza mechi nne na kuruhusu wavu wake kutikiswa mara moja.

Mwadini ni miongoni mwa  wachezaji waliodumu kwa muda mrefu katika kikosi cha Azam

 

African journalist with passion of football reporting.Also i love politics

More in