Connect with us

Na Fredrick Nwaka,

Dar es Salaam.Mshambuliaji wa na nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Mbwana Samatta ameoridheswa kwenye orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika.

Shirikisho la Soka barani Afrika CAF limetoa orodha ya wachezaji 30 watakaowania tuzo hiyo akiwemo Victor Moses wa Nigeria na wengine.

Samatt amekuwa na mchango mkubwa kwa klabu yake aliyojiunga nayo 2016 akitokea TP Mazembe ya DRC.

Aidha nchezaji huyoo amekuwa muhimu kwenye kikosi cha Taifa Stars tangu apewe nafasi hiyoo.

Tuzo za CAF zinatarajiwa kutolewa Januari nne mwakani, hafla itakayofanyika jijini Accra nchini Ghana.

More in