Connect with us

Simba SC imemfuta kazi kocha Patrick Aussems

Simba SC imemfuta kazi kocha Patrick Aussems

Na Mwandishi wetu akiwa Dar Es Salaam,

Baada ya kufanyika kwa vikao zaidi ya kimoja uongozi wa Simba SC umefikia uamuzi wa kuachana na koch wake mkuu Patrick Aussems.

Maamuzi ya Simba SC kuachana na kocha huyo yameshinikizwa na vitu viwili, kwanza kuondoka bila ruhusa kwa siki takribani mbili na kwenda nyumbani kwake Ufaransa.

Sababu ya pili iliyopelekea maamuzi hayo ni kutofikia kwa malengo ya klabu ya kucheza tena kwa hatua ya makundi ya Michuani ya Klabu Bingwa Afrika, hiyo ni baada ya kutolewa na UD Songo ya Msumbiji katika round ya awali.

Advertisement

Must See

More in