Connect with us

Simba SC imemsajili Bwalya kutoka Zambia

Simba SC imemsajili Bwalya kutoka Zambia

Klabu ya Simba SC imeendelea kuimarisha timu yake kwa kufanya usajili wa wachezaji mbalimbali na leo imemsajili Larry Bwalya raia wa Zambia.

Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 25 bado Simba hawajatangaza amepewa mkataba wa muda gani ila inaaminika kuwa miaka miwili.

Bwalya anakuja kuimarisha safu ya kiungo ya Simba SC na kutokana na usajili huo ni wazi sasa ana ungana na mzambia mwenzake Clotous Chama.

Bedjos Solutions Bondo

Must See

More in