Connect with us

Na Fredrick Nwaka,

Dar es Salaam. Simba imejiweka kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu kwa kuirarua Njombe Mji Mabao 4-0.

Mabao ya Simba yamefungwa na Emanuel Okwi, Laudi Mavugo na Mzamiru Yassin aliuefunga mabak mawili.

Ushindi huo ni salama za Simba kwa wapinzani wao Yanga ambao wanatarajia kuchuana nao Jumamosi ijayo katika mchuano ambao umeanza kuvuta hisia za mashabiki wa soka nchini.

Bingwa mtetezi Yanga kesho atakwana na Stand United mjini Shinyanga kabla ya kurejea jijini dar es Salaam kujiwinda dhidi Simba

More in