Connect with us

Simba Yamtambulisha Joash Onyango

Simba Yamtambulisha Joash Onyango

Klabu ya Simba SC leo imemtambulisha rasmi beki Joash Onyango kutokea Gor Mahia kuwa imemsajili.

Imeripotiwa kuwa Joash ,27, ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa mabeki bora waliowahi kuichezea timu ya taifa ya Kenya “Harambee Stars” na Gor Mahia kusaini mkataba wa miaka miwili na Simba.

Hata hivyo inaelezwa kuwa Joash ametua Simba kama mchezaji huru baada ya kuombwa kuachwa na klabu yake ya Gor Mahia ambayo kisheria ilivunja mkataba baada ya kushindwa kumlipa mishahara Mchezaji huyo.

Bedjos Solutions Bondo

Must See

More in