Connect with us

Droo ya hatua ya 32 bora ya kuwania taji la Shirikisho nchini Tanzania imetangazwa leo huku Yanga ikipangwa kukutana na Ihefu ya Mbeya. Michezo ya hatua hiyo itachezwa Januari  31 na Februari 1.

Ihefu ilitinga hatua hiyo baada ya kuitoa Mbeya City kwa mikwaju ya penati.

Droo hiyo imefanyika asubuhi ya leo jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa na wadau mbalimbali wakiwemo wachezaji wa zamani Yusuph Macho na Shekhan Rashid.

Ratiba kamili ya mechi hizo ni kama ifuatayo….
KMV V Toto Africans
Maji Maji v Ruvu Shooting
Njombe Mji v Rhino Rangers
Kiluvia Utd v JKT Oljoro
Ndanda Fc v Biashara United
Pamba SC v Stand United
Polisi TZ v Friends Rangers
JKT Tanzania v Polisi Dar
Ihefu FC v Yanga SC
Mwadui FC v Dodoma FC
Green Warriors v Singida United
Tanzania Prisons v Burkina Faso
Kariakoo United v Mbao FC
Maji Maji Rangers Lindi v Mtibwa Sugar
Kagera Sugar v Buseresere FC
Shupavu FC v Azam FC

African journalist with passion of football reporting.Also i love politics

More in