Connect with us
mediaUwanja wa Luzhniki utakaoandaa mechi ya ufunguzi na fainali ya Kombe la DuniaFIFA.COM

Luzhniki. Uwanja huu unapatikana katika Jiji la Moscow.

Uwanja huu utaandaa michezo saba ukiwemo wa ugunguzi baina ya Urusi na Saudi Arabia, mchezo wa fainali pia utachezwa katika uwanja huu wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 80,000.

Mechi nyingine za hatua ya makundi zitakazochezwa ni baina ya Ujerumani na Mexico Juni 17,Ureno na Morocco Juni 20 na Denmark na Ufaransa Juni 26, mechi za nusu fainali pia zitachezwa kwenye Uwanja huu.

African journalist with passion of football reporting.Also i love politics

More in