Connect with us

Uhispania na Ureno ziliungana na Uruguay na wenyeji Urusi kufuzu hatua yaa 16 bora ya fainali za kombe la Dunia.

Hispania ilihitaji bao laa dakika za mwisho laa Iago Aspas ili kupata sare ya mamabo 2-2 dhidi ya Morocco iliyoongoza kwa muda mrefu.

Iran, licha ya kuibana Ureno dakika nyingi za mchezo ilipaata sare ya bao 1-1 huku mchezaji bora duniani Christiano Ronaldo akipoteza mkwaju wa penati.

Kwa matokeo hayo, Ureno itavaana na Uruguay iliyomaliza ya kwanza katika kundi A wakati Urusi itachuana na Hispania, mechi za 16 bora.

African journalist with passion of football reporting.Also i love politics

More in