Connect with us

Na Frederick Nwaka,

Zikuwa zimesalua saa chache kabla ya Simba na Yanga kuvaana Uwanja wa Uhuru, shamrashamra zimeendelea kupamba kwenye mitandao ya kijamii na maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam.

Yanga itakuwa mwenyeji wa mchuano huo unaotabiriwa kuwa na ushindani baina ya timu hizo.

Yanga itategemea zaidi Ibrahim Ajibu aliyekuwa Simba msimu uliopita sanjari na wachezaju wengine Obrey Chirwa, Pius Buswita na Geofrey Mwashiuya.

Mshambuliaji Emanuel Okwi ni mchezaji wa kuchungwa na walinzi wa Yanga kutokana na kasi ya ufungaji wa mabao katika uwanja wa taifa.

Mashabiki wa soka jijini Dar es Salaam wamekuwa wakitambiana kwa wiki nzima na pasina shaka dakika 90 za mwamuzi Hery Sasi zitaamua nani mbabe.

Katika mchezo wa Ligi hiyo uliopigwa jana Azam iliitandika Mbeya City bao 1-0 lililofungwa na Mbaraka Yusuph.

Kikosi cha Simba kinachoanza:
28) Aishi Manula
(18) Erasto Nyoni
(15) Maohamed Hussein
(6) Juuko Murushid
(17) Method Mwanjali
(3) James Kotei
(25) Shiza Kichuya
(19) Mzamiru Yassin
(7) Emmanuel Okwi
(11) Laudit Mavugo
(8) Haruna Niyonzima

Kikosi cha leo:
1. Rostand
2. Juma Abdul
3. Gadiel Michael
4. Vincent Andrew
5. Kelvin Yondani
6. Papy Kabamba Tshishimbi
7. Pius Buswita
8. Raphael Daudi
9. Obrey Chirwa
10. Ibrahim Ajibu
11. Geofrey Mwashiuya

Akiba:

1. Beno Kakolanya
2. Hassan Messy
3. Haji Mwinyi
4. Nadir Haroub

5. Pato Ngonyani
6. Emmanuel Martin
7. Yusufu Mhilu

More in