Connect with us

Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda wakati wowote kutoka sasa itamtangaza Mbrazil Roberto Luiz Bianchi kuwa kocha mkuu akichukua nafasi ya

Ivan Minneart ambaye ameshushwa kwenye timu ya vijana.

Ripoti kutoka nchini Rwanda zinasema, Bianchi anawasili jioni hii katika Uwanaj wa ndege wa Kigali.

Bianchi ana uzoefu na soka la Afrika ambapo aliwahi kuifundisha Petro Atletico ya Angola na pia aliwahi kuifunza timu ya Taifa ya Angola, Parancras Negros.

Gazeti la New Times la Rwanda, limearifu kuwa Rayon Sports pia imemfuta kazi aliyekuwa kocha mdsaidizi Erick Ndayishimiye.

 

African journalist with passion of football reporting.Also i love politics

More in